Ticker

6/recent/ticker-posts

Mke au mume anaweza kumshtaki mtu yeyote ambaye anamshawishi mwenza wake kuacha ndoa.

 


💔 Kwa mujibu wa kifungu cha 73 cha sheria ya ndoa:

📌 Mke au mume anaweza kumshtaki mtu yeyote ambaye anamshawishi mwenza wake kuacha ndoa. Mdaiwa anaweza kuamriwa kulipa fidia endapo akikutwa na hatia. 

✍🏽 #Fidia #Ndoa #JungulaSheriaTanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni