Ticker

6/recent/ticker-posts

Kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.

 


📜 Kwa mujibu wa Kifungu cha 302 cha Kanuni ya Adhabu

🛍️ Kujipatia mali, fedha au kitu kutoka kwa mtu mwingine kwa kutumia njia za udanganyifu ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha miaka 7 jela.

⚖️ Kutokana na mazingira, kosa hili linaweza kupelekwa mahakamani kama madai na si jinai.

✍🏽 #SheriaZaTanzania #Uhalifu #Udanganyifu #JungulaSheriaTanzania


Chapisha Maoni

0 Maoni