Ticker

6/recent/ticker-posts

Wajibu wa kutunza watoto unaanza kwa BABA.



👨‍👩‍👧‍👦 Kifungu cha 129 – Sheria ya Ndoa

📌 Wajibu wa kutunza watoto uko kwa Baba – kutoa malazi, chakula, mavazi na elimu kulingana na uwezo wake.

👩 Ikiwa Baba amefariki, hajulikani alipo au ameshindwa kutunza, Mama naye ana wajibu wa kutunza au kuchangia.

⚖️ Maslahi ya mtoto huwekwa mbele zaidi ya yote.

#Watoto #Malezi #JunguLaSheriaTanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni