Ticker

6/recent/ticker-posts

Faini Tsh 500 - kutotii wito wa bodi ya usuluhishi wa ndoa.



⚖️ Kifungu cha 146 – Sheria ya Ndoa

📌 Mtu yeyote anayeitwa kufika mbele ya Bodi ya Usuluhishi na akakataa au kushindwa kufika bila sababu ya msingi 👉 anafanya kosa la jinai.

💸 Adhabu: Faini isiyozidi shilingi 500 baada ya kutiwa hatiani.

#Sheria #Ndoa #Usuluhishi #JunguLaSheriaTanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni