🚫👰🤵 Kifungu cha 148(1) – Umri wa Ndoa
📌 Kwa mujibu wa kifungu cha 148(1) cha sheria ya ndoa, kufanya sherehe ya ndoa ukijua kuwa mwenza wako yupo chini ya umri wa miaka 18, utakuwa umetenda kosa la jinai.
⛓️ Adhabu: Kifungo cha miaka 3 baada ya kutiwa hatiani.
#Sheria #Ndoa #Watoto #JunguLaSheriaTanzania

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿