Ticker

6/recent/ticker-posts

🚫 Kifungu cha 148(2) – Umri wa Ndoa

 


🚫 Kifungu cha 148(2) – Umri wa Ndoa

📌 Kushiriki sherehe ya ndoa ukijua au kuhisi kuwa mmoja au wanandoa wote wapo chini ya umri wa miaka 18, ni kosa la jinai.

⛓️ Adhabu: Kifungo kisichozidi miaka 2 baada ya kutiwa hatiani.

#Sheria #Ndoa #Watoto #JunguLaSheriaTanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni