🚫 Kifungu cha 152 – Sheria ya Ndoa.
📌 Mwanamke aliye kwenye ndoa akijaribu kuolewa tena, au mwanaume akijua anamuoa mwanamke aliye kwenye ndoa — wote wanatenda kosa la jinai.
⛓️ Adhabu: Kifungo cha hadi miaka 3 baada ya kutiwa hatiani.
#Sheria #Ndoa #Talaka #JunguLaSheriaTanzania #ElimuYaSheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿