💍 Kifungu cha 158 – Sheria ya Ndoa
📌 Kwa mujibu wa sheria, ni kosa la jinai kujaribu kwa njia isiyo halali kuzuia watu wawili waliokusudia kuoana wasifunge ndoa.
Pia, mtu yeyote anayesababisha vurugu au usumbufu mahali ambapo ndoa inafanyika, au anadhamiria kuchelewesha, kuvuruga au kuaibisha wanandoa au wageni waliopo, anatenda kosa la jinai.
⚖️ Adhabu: Faini isiyozidi shilingi elfu mbili (2,000) au kifungo cha miezi mitatu (3) au vyote kwa pamoja.
#Ndoa #SheriayaNdoa #Talaka #JungulaSheriaTanzania #ElimikaKisheria #UelewaWaSheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿