💔 Kifungu cha 161 – Dhana ya Kifo.
📌 Kwa mujibu wa Kifungu cha 161 cha Sheria ya Ndoa, ikiwa mwenzi wako hajulikani alipo kwa miaka 5 mfululizo bila mawasiliano yoyote, kuna dhana kwamba amekufa.
Katika hali hiyo, unaweza kuomba mahakama ivunje ndoa hiyo kupitia amri rasmi, na baada ya hukumu hiyo ndipo unaweza kuoa au kuolewa tena kisheria.
⚠️ Sheria hii haitumiki endapo wanandoa walikuwa kwenye ndoa ya mitala ya kiafrika, na dhana ya kifo inamhusu mke.
#sheriazandoa #talaka #haki #jungulasheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿