💼 Kifungu cha 3 & 4 – Sheria ya Utwaaji Ardhi.
📌 Rais anaweza kuchukua ardhi yoyote ile inayohitajika kwa matumizi ya umma au miradi ya taifa kama miji mipya, viwanda, kilimo, huduma za jamii, viwanja vya ndege, bandari au uchimbaji madini.
📌 Kabla ya ardhi binafsi kutwaliwa, ni lazima waathirika walipwe fidia stahiki ndani ya kipindi cha miezi sita.
⚠️ Miradi yote hii ni kwa faida ya wote na inalenga maendeleo ya taifa.
#Tanzania #SheriaYaArdhi #Maendeleo #PublicPurpose #LandAcquisition

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿