Ticker

6/recent/ticker-posts

🚫 Ukatili dhidi ya mtoto ni kosa la jinai.



🚫 Ukatili dhidi ya mtoto ni kosa la jinai.

📜 Kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu – Kifungu cha 169A, ni kosa:

• Kumtesa au kumtelekeza mtoto

• Kumsababishia madhara ya mwili au akili

• Kumfanyia au kuruhusu mtoto kufanyiwa ukeketaji (FGM)

⚖️ Adhabu: ⛓️ Kifungo cha miaka 5–15 au

💰 Faini hadi TSh 1,000,000 au vyote pamoja, pia kumlipa fidia mtoto aliyeathirika.

#JunguLaSheria ⚖️

#ElimuYaSheria 📚

#ProtectChildren 👶

Chapisha Maoni

0 Maoni