Ticker

6/recent/ticker-posts

Kila mtu ana haki ya kuishi.



🛡️ Kila mtu ana haki ya kuishi.

📜 Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyorekebishwa) – Ibara ya 14:

Kila mtu ana haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii ulinzi wa maisha yake kwa mujibu wa sheria.

⚠️ Haki ya uhai ni haki ya msingi inayolindwa kikatiba.

#JunguLaSheria ⚖️

#ElimuYaSheria 📚

#HakiZaBinadamu

Chapisha Maoni

0 Maoni