Ticker

6/recent/ticker-posts

🗣️ Kila mtu ana haki ya uhuru wa maoni.

 


🗣️ Kila mtu ana haki ya uhuru wa maoni.

📜 Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 – Ibara ya 18:

• Kila mtu ana uhuru wa kuwa na maoni yake

• Ana haki ya kutoa na kupokea taarifa na mawazo

• Ana haki ya kupata taarifa muhimu kuhusu jamii na nchi

📚 Toa maoni yako kwa heshima.

#JunguLaSheria ⚖️

#ElimuYaSheria 📚

#UhuruWaMaoni

Chapisha Maoni

0 Maoni