Ticker

6/recent/ticker-posts

Haki ya Uhuru wa mtu binafsi.


HAKI YA UHURU WA MTU BINAFSI.

Ibara ya 15 ibara ndogo ya 1 & 2 zinasema yafuatayo kuhusu haki ya Uhuru wa mtu.

1. Kila MTU anayo haki ya kuwa huru na kuishi Kama mtu huru.

2. Kwa madhumuni ya kuhifadhi haki ya MTU kuwa huru na kuishi kwa Uhuru, itakuwa ni marufuku kwa MTU yeyote kukamatwa, kufungwa, kufungiwa, kuwekwa kizuizini, kuhamishwa kwa nguvu au kunyang'anywa Uhuru wake vinginevyo, isipokuwa tu katika hali na kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria AU katika kutekeleza hukumu, amri au adhabu iliyotolewa na mahakama kutokana na shauri au na mtu kutiwa hatiani kwa kosa la jinai.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni