Ticker

6/recent/ticker-posts

Uhalali wa wosia unategemea yafuatayo.


UHALALI WA WOSIA UNATEGEMEA YAFUATAYO:
( wosia huu ni wosia wa sheria za bunge)

1.wosia unatakiwa kuwa katika maandishi.
2.Mwandika wosia awe na miaka kumi na nane na zaidi.
3.Mwandika wosia awe na akili timamu.
4.Mwandika wosia ni lazima asaini wosia wake mbele ya mashahidi wawili.
5.Mashahidi wote pia lazima wasaini mbele ya mtoa wosia.
6.Mashahidi wasiwe kati ya wanufaika wa wosia na watie saini zao mbele ya mwosia.
7.Mashahidi hawatakiwi kuona kilichoandikwa kwenye wosia mbali na saini ya mwosia mwenyewe.
8.Saini zote ziwekwe mwishoni mwa wosia.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni