Umilikaji wa ardhi ya kimila hasa huhusisha ardhi zilizopo vijijini, huu ni umiliki wa ardhi ambayo haijapimwa na inaweza kuwa na hati ya kimila kama mmiliki akitaka.
Haki zilizopo katika ardhi ya kimila ni karibia na sawa ya haki zilizopo katika ardhi ya kupimwa japokuwa inashauriwa kwa wamiliki wa ardhi zote za kimila kuzisajili ili zimilikiwe kiserikali.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿