Ticker

6/recent/ticker-posts

Tendo la ndoa ni HAKI.


JE UNAJUA KUWA TENDO LA NDOA NI HAKI KATIKA NDOA NA INAWEZA KUFANYA NDOA IKAVUNJIKA ISIPOTIMIZWA?

Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa kwani masharti ya mkataba hayajatimizwa.

Haki hii ni lazima iwe imevujwa kwa makusudi bila kuhusisha sababu kama maradhi na kasoro za kimaumbile, ikivunjwa kwa makusudi inaweza kupelekea kuvunjika kwa ndoa.

SHERIA YA NDOA 1971

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni