Ticker

6/recent/ticker-posts

Kinga ya kidiplomasia.


UNAIJUA KINGA YA KIDIPLOMASIA YA MABALOZI?

Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika nchi za kigeni wamepewa kinga ya kidiplomasia inayowaepusha kukamatwa kwa kutumia nguvu au kushtakiwa wanapofanya uhalifu katika nchi walizopo.

Lakini wanapofanya makosa makubwa zaidi hurejeshwa na kushtakiwa wakiwa nchini mwao.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni