Hii ni sheria ambayo inatoa muongozo wa namna ya kushughulikia makosa ya jinai, sheria hii inaeleza namna na utaratibu wa ukamataji wa wahalifu, namna ya dhamana polisi au mahakamani na taratibu zingine nyingi za kisheria ambazo zinatakiwa kufuatwa katika kushughulikia masuala ya kisheria.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿