Ticker

6/recent/ticker-posts

Sifa za kampuni.


SIFA ZA KAMPUNI

1.Kampuni ina jina.
2.Kampuni ina uwezo wa kumiliki mali.
3.Kampuni inaweza kushtaki au kushtakiwa kwa jina lake.
4.Uhai wa kampuni ni wakudumu (uhai wa kampuni hufikia kikomo kwa makubaliano ndani ya kampuni au kuvunjwa kwa kampuni kwa amri ya mahakama tu)
5.Kampuni inaajiri wafanyakazi

n.k

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni