Kanuni ya adhabu sura ya 16 kifungu cha,, 215 kulanjama ya kumuua mtu mwingine ni kosa hata kama njama hizo hazikufanikiwa
215. Mtu yeyote anakayekula njama na mtu mwingine yeyote kumuua mtu yeyote, iwe mtu huyo yuko Tanzania Bara au pengine, mtu huyo atakuwa anatenda kosa na atawajibika kutumikia kifungo cha miaka kumi na nne jela.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿