Ticker

6/recent/ticker-posts

Kumsaidia mtu kujitoa uhai ni kosa kisheria. Na Johnson Yesaya


Kanuni ya adhabu sura ya 16,, kushawishi mtu au kumsaidia mtu kujiua ni kosa kisheria

216. Mtu yeyote ambaye–
(a) anasababisha mtu mwingine ajiuwe; au
(b) anamshauri mtu mwingine ajiuwe na akamshawishi kufanya
hivyo; au
(c) anamsaidia mtu mwingine ajiuwe,
atakuwa anatenda kosa na atahukumiwa kifungo cha maisha .

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni