Ticker

6/recent/ticker-posts

Ni kosa kusababisha maudhi ya kihisia kupitia mtandao wa kijamii. Na Johnson Yesaya


Ni kosa kusababisha maudhi kihisia katika mtandao wa kijamii

Unyanyasaji kwa kupitia mtandao

23.-(1) Mtu hataanzisha au kukadimisha mawasiliano yoyote ya kielektroniki kwenda kwa mtu yoyote kwa kutumia mfumo wa kompyuta, kwa lengo la, kulazimisha, kutisha au kunyanyasa au kusababisha maudhi ya hisia.

(2) Mtu atakayekiuka kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa na atawajibika, iwapo atatiwa hatiani, kulipa faini isiyopungua shilingi milioni tano au kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu au vyote kwa pamoja.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni