Namna mbalimbali za adhabu katika Kifungu namba 25 cha kanuni ya adhabu sura ya 16
25. Adhabu zifuatazo zaweza kutolewa na mahakama:–
(1) Kifo.
(2) Kifungo.
(3) Kutandikwa.
(4) Kutoza faini.
(5) Kuhodhi.
(6) Malipo ya fidia.
(7) Kutaka dhamana kwa kutunza amani na kuwa na tabia njema,
au kwa kuhudhuria kupewa hukumu.
(8) Adhabu nyingineyo yoyote inayotolewa na Kanuni hii au sheria nyingineyo yoyote au amri.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿