Ticker

6/recent/ticker-posts

Kupigana hadharani ni kosa kisheria. Na Johnson Yesaya


Mapigano au kupigana hadharani ni kosa kisheria.

Kanuni ya adhabu au penal code kwa lugha ya kiingereza, kifungu cha 87 cha sheria hiyo kinasema;

87. Mtu yeyote ambaye atashiriki katika mapigano mahali pa
hadhara amekosa kosa dogo na atapasiwa na kifungo cha miezi sita au kutozwa faini isiozidi shilingi mia tano.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni