Sheria inayoitwa kanuni ya adhabu sura namba 16 au penal code kwa lugha ya kiingereza, kifungu namba 84 kinasema:
Mtu yeyote anayetembea na silaha katika hadhara bila yajambo la halali kwa namna ambayo inaweza kuleta utisho kwa mtu yeyote mtu huyo amekosa kosa dogo na silaha yake yaweza kuhodhiwa..
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿