NGONO CHINI YA MIAKA 18 NI "UBAKAJI".
Je unafahamu kuwa kushiriki ngono na msichana wa umri wa miaka chini ya 18 ni UBAKAJI?
Basi tukufahamishe kuwa, kushiriki ngono na msichana wa umri chini ya miaka 18, kwa ridhaa au bila ridhaa yake ni UBAKAJI hata kama binti alikubali kufanya ngono kwa ridhaa yake.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿