Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuingia katika sehemu ya mazishi bila idhini.Na Johnson Yesaya. LL.B.

 


KUINGIA KATIKA SEHEMU YA MAZISHI BILA IDHINI.

Mtu yeyote ambaye, kwa madhumuni ya kuumiza imani za mtu yeyoteau kufedhesha dini ya mtu yeyote, au kwa kufahamu kuwa imani ya mtu yeyote inaweza kuumizwa, au dini ya mtu mwingine iko hatarini kufedheheshwa, ametenda kosa la kuingia kwenye eneo la kuabudia bila ruhusa eneo la makaburi matakatifu au kwenye eneo lolote ambalo limetengwa kwa ajili ya mazishi au kama bohari ya mabaki ya maiti, au 

atafanya dhuluma yeyote kwa maiti ya binadamu au atafanya fujo kwa watu wowote waliokusanyika kwa ajili ya mazishi, atakuwa ametenda kosa.

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 127

Chapisha Maoni

0 Maoni