KUZUIA MAITI KUZIKWA BILA UHALALI NI KOSA.
Mtu yeyote ambaye bila halali anazuia mazishi ya mwili wa mtu yeyote aliyekufa au mtu ambaye, bila mamlaka halali kwa niaba hiyo au vinginevyo kulingana na kanuni iliyowekwa na Waziri anayehusika na afya (ambayo
unamuongoza Waziri aliyepewa mamlaka kufanya) anafukua kaburi, anapasua, au anafanya uharibifu wowote kwenye mwili wa mtu yeyote aliyekufa au ambaye, anawajibika kufanya maiti ya mtu yeyote izikwe, kwa
hiari yake na bila kupewa idhini na mamlaka halali anapuuza kutimiza wajibu wake kwa makusudi , atakuwa ametenda kosa.
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 128

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿