MANENO YA KUUDHI DHIDI YA IMANI YA DINI.
Mtu yeyote ambaye kwa dhamira ya kuudhi imani ya mtu yeyote ya
dini yake akatamka maneno yeyote au akafanya sauti yeyote itakayosikiwa na mtu huyo au akafanya ishara mbele ya macho ya mtu huyo atakuwa ametenda kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwaka moja.
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 129.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿