Je unajua kuwa kutoa ushahidi wa uwongo mahakamani ni kosa la jinai?
Basi ieleweke bayana kuwa kutoa ushahidi kwa maandishi au kwa mdomo mahakamani ni kosa la jinai na adhabu yake ni hukumu kwenda jela miaka saba.
Kosa hili limeelezwa katika kifungu namba 102, 103 na 104 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 TOLEO LA MWAKA 2019.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿