Mtu yeyote ambaye atavunja, kuharibu na kuchafua mahali popote pa kuabudia au kitu chochote kinachoitwa kitakatifu na watu wa aina yeyote
kwa madhumuni ya kufedhehesha dini ya kundi lolote la watu au kwa kufahamu kuwa kundi lolote la watu linataka kufanya uharibifu, hasara au uchafuzi kama fedheha kwa dini atakuwa ametenda kosa.
KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU NO 125.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿