KIFUNGU NO. 186(1), SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI.
Mahali ambapo mahakama yoyote imekaa kwa ajili ya kuchunguza au kusikiliza kosa lolote itachukuliwa kuwa ni mahakama ya wazi ambayo watu wote watakuwa na fursa ya
kuhudhuria kwa kiasi ambacho pataweza kuwachukua, isipokuwa kwamba hakimu au jaji aliyekaa anaweza, kama ataona ni muhimu kutokana na mazingira au aina ya kosa, kuzuia umma kusikiliza sehemu au kesi nzima
#ijuesheria
#jungulasheria
#sheriamkononi
#jinai.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿