KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 15 (3).
Mwanaume mwenye umri wa chini ya miaka kumi na mbili atachukuliwa kuwa hawezi kufanya tendo la ndoa. Na makosa yote yatakayofanyawa na mtoto huyo yatashughulikiwa kulingana na sheria ya mtoto.
Endapo mtoto wa miaka 18 au chini ya 18 amefanya ubakaji, ikiwa ni kosa lililofanywa kwa mara ya kwanza, adhabu yake itakuwa ni viboko. Endapo kosa hilo ni la mara ya pili, adhabu yake itakuwa ni kifungo cha miezi 12 pamoja na viboko. Endapo kosa limefanywa kwa Mara ya tatu, adhabu yake itakuwa ni kifungo cha miaka mitano pamoja na viboko.
KIFUNGU CHA 131 cha kanuni ya adhabu sura ya 16.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿