KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 176(h).
Kinasema, "mtu mwenye afya kamili ambaye hajishughulishi katika kazi yoyote ya uzalishaji na hana namna yoyote inayoonekana waziwazi ya kujikimu, atahesabiwa kuwa ni mtu mvivu na mzembe na atapaswa kulipa faini isiyozidi shilingi mia tano au kifungo kisichozidi miezi mitatu au vyote kwa pamoja.
#sheria
#junguupdates
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿