MAREKEBISHO YA SHERIA YA MAHAKAMA ZA MAHAKIMU (Magistrates Courts Act).
Marekebisho yaliyofanywa katika sheria ya mahakama za mahakimu yanaruhusu mawakili kuwawakilisha wateja wao katika mahakama za mwanzo ambapo awali mawakili walikuwa hawaruhusiwi kuwakilisha wateja wao katika mahakama za mwanzo.
Ruhusa hiyo ipo endapo shauri linasikilizwa na hakimu Mkazi.
#sheria
#junguupdates
#legalupdates
#Tanzanialawfirms
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿