KIFUNGU NAMBA 133 CHA KANUNI YA ADHABU SURA YA 16.
Mtu yeyote ambaye kwa nia ya kumuoa au kufanya ngono na mwanamke wa umri wowote au kumfanya aolewe au kufanya ngono na mtu mwingine yeyote, anamchukua mwanamke huyo au kumzuia bila ya ridhaa yake, atakuwa ametenda kosa na atawajibika kwa kifungo cha miaka saba.
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿