Ticker

6/recent/ticker-posts

UWEZO WA KUVUNJA SEHEMU YOYOTE KWA LENGO LA KUJIKOMBOA.

 


SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI SURA YA 20 KIFUNGU CHA 20.


"Afisa polisi yeyote au mtu mwingine aliyeruhusiwa kufanya ukamataji anaweza kuvunja sehemu yoyote kwa ajili ya kujikomboa mwenyewe au mtu mwingine ambaye, baada ya kuingia kihalali kisheria kwa ajili ya kufanya ukamataji, amezuiwa ndani ya sehemu hiyo".


Imeandikwa na Mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269/0628729934

Chapisha Maoni

0 Maoni