Ticker

6/recent/ticker-posts

KUDUKUA MAWASILIANO NI KOSA LA JINAI.



Kudukua mawasiliano kuna tafsiri nyingi, yaweza kuwa kwa kutumia kifaa fulani kama Kompyuta kusoma au kudukua taarifa za kimawasiliano kutoka katika simu au kifaa chochote kingine cha mawasiliano.


Yaweza kuwa kusoma au kusikiliza sauti ya mazungumzo ya watu kutoka katika vifaa vyao bila ruhusa yao au ruhusa ya mahakama.. makosa haya huondoa haki ya faragha na mtu anaweza kutozwa faini kutokana na athari za kitendo chake.


IMEANDIKWA NA;


Mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )

Wa Jungu la sheria Tanzania.

0758218269/0628729934.

Chapisha Maoni

0 Maoni