Ticker

6/recent/ticker-posts

NI KOSA LA JINAI KUMPIGA KUMTESA, KUMBEBESHA MIZIGO MIZITO "MNYAMA".


 

KIFUNGU CHA 59(1),(2) na (3) cha sheria ya ustawi wa wanyama ya mwaka 2008.


Ni kosa KUMPIGA, KUMTESA, KUMBEBESHA MIZIGO MIZITO, KUMTISHIA, AU KUMBEBA KWA NAMNA INAYOMUUMIZA MNYAMA.


Adhabu ya kosa hili ni kifungo cha mwezi mmoja jela au faini ya shilingi laki moja.


Ifahamike kwamba, wanyama wanaozungumziwa na sheria hii ni wale wanyama wafugwao na binadamu, wanyama wengi wa pori wanasimamiwa na sheria ya uhifadhi wa wanyama pori na adhabu zake ni tofauti.


Imeandikwa na mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269/0628729934.

Chapisha Maoni

0 Maoni