UHAINI ni kosa la jinai lenye adhabu ya KIFO. Sheria inasema, MTU yeyote ambaye kwa nia ya kufanya uhalifu, akamuua au kumjeruhi raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, au akasababisha au kuanzisha vita dhidi ya serikali ya Tanzania, atakuwa ametenda kosa la UHAINI na adhabu yake ni KIFO. Kosa la uhaini linaweza kutendwa kwa namna nyingine mbalimbali kama ilivyoelezwa na KIFUNGU cha 39 cha Kanuni ya Adhabu SURA ya 16.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿