MAPINGAMIZI YA KIKODI. Kwa mujibu wa sheria ya Usimamizi wa Kodi, KIFUNGU cha 51(1) na (5), mlipakodi anaweza kuweka pingamizi dhidi ya makadirio ya KODI yaliyofanywa na kamishna jenerali wa mamlaka ya mapato Tanzania. Pingamizi hilo litakubaliwa na kusikilizwa endapo tu mlipakodi amelipa kiwango chote cha Kodi ambacho hakina mgogoro au amelipa moja ya tatu ya kiwango cha KODI iliyokadiriwa bila kujali ukubwa wa makadirio.
#sherianatehama
#sheria
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿