WAJIBU WA KIRAIA.
Kila RAIA wa Tanzania ana wajibu wa kikatiba wa kufanya KAZI halali kujiingizia kipato, wajibu wa kutii SHERIA za nchi, wajibu wa kulinda mali ya umma pamoja na wajibu wa kulinda usalama wa nchi.
IBARA ya 25, 26, 27 na 28.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿