Kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji na matumizi ya ndege zisizo na rubani, kanuni ya 18 inazuia uendeshaji wa ndege hizo bila kibali maalumu toka mamlaka ya anga ya Tanzania. Adhabu ni faini Milioni moja au jela miezi sita au vyote kwa pamoja.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿