Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015, kifungu cha 15, ni kosa la jinai kutumia picha au taarifa za mtu mwingine kama majina yake katika mtandao wa kijamii bila idhini yake. Adhabu faini isiyopungua Milioni tano au mara tatu ya faida iliyopatikana kutokana na uhalifu huo au kifungo kisichopungua miaka saba au vyote kwa pamoja.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿