Kwa mujibu wa kifungu cha 91 cha sheria ya mwenendo wa jinai sura ya 20, mwendesha mashtaka mkuu wa serikali anaweza kufuta kesi yoyote ya jinai dhidi ya mtu yeyote aliyeshtakiwa katika hatua yoyote ya kesi kabla ya hukumu. Kufutwa kesi hakuzuii mshtakiwa kukamatwa na kushtakiwa Tena.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿