Ticker

6/recent/ticker-posts

Zijue mahakama za ardhi.



Kwa mujibu wa Sheria ya Mahakama za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi, kesi zote kuhusu umiliki wa ardhi, uvamizi wa ardhi n.k zinapaswa kupelekwa katika mahakama maalumu za ardhi. Mahakama hizo ni;-

(i) Baraza la Kijiji la Ardhi; (ii) Baraza la Kata (iii) Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya; (iv) Mahakama Kuu [Kitengo cha Ardhi]; na (v) Mahakama ya Rufaa.

Chapisha Maoni

0 Maoni