Kwa mujibu wa kifungu cha 169(1) Cha kanuni ya Adhabu sura 16, kuiba mtoto kutoka kwa wazazi wake halali au watu wenye mamlaka ya uangalizi wa mtoto kwa kutumia nguvu, au kwa kumshawishi mtoto ni kosa ambalo Adhabu yake ni miaka saba jela.
Ni utetezi wa kutosha endapo aliyeiba au kuchukua mtoto alifanya kwa nia njema au ni baba au mama wa mtoto endapo mtoto alizaliwa nje ya ndoa.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿