Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha sheria ya miamala ya kielektroniki, watu wanaweza kuingia katika mikataba kupitia mfumo wa kompyuta bila hata kukutana ana kwa ana.
Watu wanaweza kuandaa mkataba, kukubaliana masharti, kufanya malipo na kutia saini mikataba yao kielektroniki na kwa kufanya hivyo mikataba hiyo ni halali na inakubalika kisheria.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿