Kwa mujibu wa kifungu cha 64A cha sheria ya ushahidi sura 6, watu wanaweza kupeleka mahakamani au katika vyombo vya maamuzi, ushahidi wa kielektroniki uliopatikana kupitia mifumo ya tehama.
Ushahidi wa kielektroniki ni ushahidi halali na unakubalika kisheria kama ulivyo ushahidi wowote mwingine.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿